.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 31 Agosti 2015

MEYA ANAYEENDESHA OFISI KWA KUTUMIA WHATSAPP ASAKWA NA POLISI

Meya mmoja nchini Brazil ameingia mitini baada ya kutuhumiwa kujichumia fedha za mfuko wa mfumo wa shule na kuendesha mji anaouwakilisha kwa kutumia WhatsApp.

Meya huyo mwanamke Lidiane Leite, 25, anaishi maisha ya kifahari katika mji mkuu wa jimbo la Maranhao.

Imeelezwa kuwa Meya Leite alikuwa akiwasiliana na mji aliochaguliwa kupitia mtu mmoja aliyejulikana kama Bom Jardim, ambaye alikuwa akiwasilisha ujumbe kila siku wa WhatsApp kwa baraza lake la madiwani.

Hati ya kukamatwa Meya huyo pamoja na mwanaume wake ambaye inasemekana kuwa ndiye mshauri wake mkuu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni