Mfungwa aliyekuwa katika gereza
lenye ulinzi mkali ametoroka gerezani nchini Australia katika jimbo
la Kusini Wales kwa kufunga mashuka ya kulalia na kuyatumia kupanda
ukutani.
Mfungwa huyo Stephen Jamieson, 28,
imeripotiwa alijizungushia mto kiunoni ili asichanwe makalio yake na
nywaya mithili ya wembe zilizopo juu ya ukuta.
Mfungwa Jamieson, alikuwa akitumikia
kifungo cha miaka 12 jela kwa kosa la wizi wa kutumia silaha.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni