MH. JOHN POMBE MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA WAKE, SAMIA SULUHU HASSAN WARUDISHA FOMU TUME
Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo.
Mh Magufuli kiwa na mgombea mwenza, Samiah Hassan Suluhu.
Viongozi wa CCM waliomsindikiza mgombea wao wa urais.
Lubuva (kulia) akizungumza jambo wakati wa kurudisha fomu hizo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni