Mhariri wa mtandao wa Bagamoyo Newas Bw. Sayed Abdul akitoa shukurani kwa niaba ya Mablogger mara baada ya mgeni rasmi kufungua semina hiyo inayofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Maaskofu.
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizungumza katikasemina hiyo wakati alipokuwa akitoa mada kwa wana TBN inayofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Maaskofu.
Mmiliki wa Blogu ya K-VIS Blog Khalfan Said akishiriki katika semina hiyo pamoja na washiriki wengine. Kwa hisani ya Fullshangwe BlogBaadhi ya mablogger wakishiriki katika semina hiyo.
Robert Okanda kushoto na baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada mbalimbali.
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti kulia Rachel Palangyo katikati na John Kitime wakiwa katika semina hiyo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akikabidhi fulana 70 kwa Mwenyekiti wa TBN Bw. Joachim Mushi kwa ajili ya mablogger mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo iliyofanyika baraza la Maaskofu Kurasini jijini Dar es salaam







Hakuna maoni :
Chapisha Maoni