.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 22 Agosti 2015

MKUTANO WA MAGAVANA WA BENKI KUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ULIOFANYIKA HOTELI YA MELIA ZANZIBAR

Gavana Mkuu wa Benki ya Tanzania Prof, Benno Ndulu, akifungua mkutano wa Magavana wa Mabenki Kuu ya Nchi za Afrika Mashariki kuzungumzia mzunguko wa Fedha katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Pwani Mchani Zanzibar, KULIA Gavana wa Benki Kuu yas Kenya Dk. Patrick Njoronge
 Wajumbe wa kutoka IMF wakifuatilia Mkutano Magavana wa Nchi za Afrika Mashariki kuzungumzia masuala ya uchumi wa Nchi zao.
Maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania wakifuiatilia Mkutano huo wakati wa ufunguzi wake uliofanywa na Gavana Mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania Prof Benno Ndulu.katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Pwani Mchangani Zanzibar
 











                                                                                          Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni