Katika mkutano na bodi na wafanyakazi amewataka kutoa huduma kwa wateja
kwa kiwango cha juu ikiwemo kusikiliza matatizo ya wateja na
kuyashughulikia kwa wakati.
Aidha ameitaka menejimenti kuhakikisha mkandarasi wa kujenga mradi
mkubwa wa kuboresha huduma ya maji jiji la Mwanza hususan maeneo ya
miinuko ananza kazi novemba kama ilivyopangwa.
Mradi huo mkubwa unagharimu shilingi bilioni 110 na ni ushirikiano wa
serikali ya Tanzania. Shirika la maendeleo la Ulaya na ufaransa
Kukamilika kwa mradi huu kutamaliza tatizo la maji jiji la Mwanza
Kukamilika kwa mradi huu kutamaliza tatizo la maji jiji la Mwanza
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni