.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 7 Agosti 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau wa kilimo na taasisi za fedha wakati akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.


Vifijo baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya, Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkurugenzi Mkuu wa TIB Bank Bw. Peter Noni na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.

Msanii akiburudisha kwa ngoma kutoka Zanzibar baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.  PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni