Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Balozi wa Norway Trygve Bendiksby wakati alipowasili katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Care Tanzania Bw,Paul Daniel (katikati) wakati alipowasili katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Balozi wa Norway Trygve Bendiksby.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akipanda mche wa muembe Mviringo ikiwa kama kumbukumbu yake wakati sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Care Tanzania Bw,Paul Daniel (katikati) Mwakili wa Balozi wa Norway Trygve Bendiksby (kushoto) na Waziri wa Ofisimya Makamo wa Pili wa Rais Mohaamed Aboud Mohamed pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein wakati alipotoa hutuba yake katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Wazi wa Kilimo Mali asili Sira Ubwa Mamboya katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo.
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo
Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo.









Hakuna maoni :
Chapisha Maoni