Mkurugenzi Mkuu Nehemia Kyando Mchechu akitoa ufafanuzi baada ya kuona sehemu utakaojengwa Mradi wa Mtanda phase 2.
Mkurugenzi Mkuu Nehemia Kyando Mchechu, pamoja na timu aliyoongozana nayo wakionyeshwa ramani ya eneo ambalo halmashauri inawashawishi wananchi walipwe fidia ndogo ili shirika liweze kujenga nyumba za gharama nafuu.
Eneo hilo lina viwanja vitano vyenye ukubwa tofauti ,mathalan Kiwanja No.9 kitalu A kina ukubwa wa meta mraba 30,465.Ambazo ni sawa na ekari saba. Masoko Pwani Kilwa Masoko.
Meneja wa Lindi Bw, Patrick akionyesha eneo lililonunuliwa na shirika maeneo ya Tipuli mkoani Lindi lenye ukubwa wa ekari 10.








Hakuna maoni :
Chapisha Maoni