Makundi matano yaliyoingia robo fainali ya
mashindano ya kucheza Dance 100% 2015 yakiwa katika picha ya pamoja.
Kundi pekee la wasichana lililojitokeza hadi sasa
'Cute babies' wakimalizia kufanya yao.
Jaji Queen Darleen akiingia kuchukua nafasi yake
#2015Dance100.
"Ubunifu katika mashindano", moja kati
ya makundi yaliyojitokeza 'The Quest Crew' wakiwa wamevaa kininja.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni