.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Septemba 2015

AKOSA AJIRA BAADA YA KUMTUMIA MENEJA UHUSIANO PICHA ZA UTUPU

Mwanaume mmoja huko Chicago Marekani amepoteza nafasi ya kupata ajira baada ya kumtumia kimakosa picha za utupu meneja uhusiano wa kampuni aliyoomba ajira.

Polisi wamesema mwanaume huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alituma picha za utupu kati ya Agosti 11 na 13 kwa meneja uhusiano huyo mwanamke na baadae kumpigia simu.

Meneja huyo mwanamke wa kampuni mojawapo ya St Charles alipokea picha hizo zilizotumwa kama ujumbe wa simu mara mbili akiwa nyumbani na kuwasiliana na polisi.

Msemaji wa polisi amesema mwanaume huyo alikiri kutuma jumbe hizo lakini amesema picha hizo alikuwa amelenga kumtumia mtu mwingine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni