.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Septemba 2015

CELINA KOMBANI AZIKWA MKOANI MOROGORO

X1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakitoa heshima za mwisho kwa Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani katika sala iliyofanyika kwenye uwanja wa jahuri Mjini Morogoro Septemba 29, 2015.

                                                                             (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
X2
Makamu wa Rais, Dr. Mohammed Ghalib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi, Celina Kombani yaliyofanyika Shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba 29, 2015. Kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda.
X3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi Celina Kombani katika mazishi yaliyofanyika shambani kwa marehemu nje kidogo ya mji wa Morogoro Septemba 29, 2015.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni