Mashabiki wa timu ya Chelsea
wameonyeshwa kwa mara ya kwanza jinsi dimba lao la Stamford Bridge
litakavokuja kuwa baada ya kufanyiwa upanuzi ili kuwa na uwezo wa
kuingiza mashabiki 60,000.
Ujenzi wa uwanja huo unaotarajiwa
kukamilika mwaka 2020 utagharimu kiasi cha paundi milioni 500, na
Chelsea italazimika kuhama uwanja huo kwa kipindi cha miaka mitatu
kupisha ujenzi.
Muonekano wa ndani katika dimba jipya la Stamford Bridge
Muonekano wa Stamford Bridge kwa juu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni