.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 11 Septemba 2015

DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA INDIA NCHINI PAMOJA NA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana mgeni wake Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza aliyefika leo kwa ajili ua kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza aliyefika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana mgeni wake Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Saudi Arabia Bw.Hemedi Iddi Mgaza baada ya mazumngumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais ,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni