.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 23 Septemba 2015
KAMPENI ZA DK MAGUFULI ZATUA MJI MDOGO WA KATORO,GEITA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda mkoani Geita leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG<
Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano huo uliofanyika Mji Mdogo wa Katoro Geita.
Wengine ilibidi wawe juu ya kuta ili wapate kumona Dk Magufuli wakati wa kampeni katika mji wa Runzewe, Bukombe, Geita
Umati wa watu katika mkutano wa kampeni Runzewe
Dk Magufuli akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia katika miji ya Buselesele na Katoro
Msafara ukiingia katika mkutano wa kampeni katika Mji wa KATORO
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Musukuma akihutubia kabla ya kumkaribisha Dk Magufuli mjini Katoro
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni