Nyota wa mbio za magari za
Langalanga Lewis Hamilton amenogesha ushindi kwa kununua gari la
kifahari la Mercedes G63 AMG lenye matairi sita, lililobuniwa
kutumika kwenye barabara mbaya na zenye miamba.
Gari hilo ambalo limepachikwa jina
la 'lunatic monster' ambalo ni kama yanayotumiwa na majeshi ya
Australia, limemugharimu Lewis Hamilton kitita cha paundi 370,000.
Muonekano wa gari hilo kwa ndani
Myama ukipanda jabali katika eneo la barabara mbaya




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni