Mbunge aliemaliza muda wake wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akisisitiza jambo kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Njombe.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, NJOMBE.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Makambako, waliofurika kwa wingi wenye
Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe leo Agosti 31, 2015,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Waziri
Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Makambako leo
Agosti 31, 2015.
Waziri
wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia
kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja Polisi Makambako, Leo Agosti 31, 2015.

Umati wa Wananchi wa Njombe.

Taswira zikichukuliwa.

Wadau Mkutanoni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makambako, Mhema Oraph, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe leo Agosti 31, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipongeza na baadhi ya Wagombea Udiwaki wa Kata mbali mbali za Mji wa Makambako, Mkoani Njombe baada ya kuhutubia Mkutano wake wa Kampeni.
Lowassa akiondoka Uwanjani hapo baada ya kumalizika kwa Mkutano wake wa Kampeni.
Baada ya kumaliza Mkutano katika Mji wa Makambako, Mh. Lowassa na Msafara wake walielekea Njombe Mjini na mapokezi yake yalikuwa kama ionekanavyo hapa.
Hivi ndivyo walivyompokea Lowassa leo wana Njombe Mjini.
Wakielekea Jukwaa kuu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni