.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Septemba 2015

MAHUJAJI WAPATAO 717 WAFARIKI DUNIA KWA KUKANYAGANA MAKKA


Mahujaji wapatao 717 ambao walikuwa wakishiriki ibada ya Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka wamekufa kutokana na mkanyagano.

Mahujaji wengine 863 wamejeruhiwa katika tukio hilo lililotokea Mina, wakati mahujaji milioni mbili wakiadhimisha siku ya mwisho ya ibada ya Hija.

Mahujaji hao wamekanyagana wakati wakitupa mawe kwenye nguzo kadhaa katika mji wa Mina kitendo ambacho ni cha kumpiga mawe shetani.
                     Mahujaji wakiwa Maka baada ya kutokea tukio la kukanyagana 
                                 Mahujaji wakitupa mawe kwenye nguzo kumpiga shetani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni