.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 3 Septemba 2015

MAZISHI YA KIONGOZI WA KIKOSI CHA WATAALAM WA KICHINA KATIKA MPANGO WA USHIRIKIANO WA UJENZI WA UWANJA WA TAIFA

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mke wa marehemu Eng. QI XINwa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).
Mtoto wa marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mpendwa wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Leornad Thadeo akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi ya jamaa wa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakitoa heshima za mwisho wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mke wa marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho wakati wa mazishi ya mume wake ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa, mazishoi hayo yalifanyika jijin Dar es Salaam leo (jana). Wa kwanza kutoka kushoto ni mtoto wa marehemu
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa China nchini Lin Chiyong akimpa pole mfiwa ambaye ni mke wa marahemu Eng.QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uhuru.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika mazishi ya Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni