.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 7 Septemba 2015
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI ANGURUMA JIJINI TANGA
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.
Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa jijini Tanga, mgombea huyo yupo katika mikutano ya kampeni mkoani Tanga. <b>(Picha zote na Francis Dande)
Baadhi ya wafuasi wa Ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kuusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njia kuelekea wilayani Muheza.
CCM kifo cha mende............
Mgombea Mwenza Juma Duni Haji akihutubia wakati wa jimbo la Muheza.
Mgombea Mwenza akimkabidhi kadi ya CUF, Siwajibu Rajabu aliyejiunga na chama hicho wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Pangani Tanga.
Wafuasi wa Ukawa Mkinga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema kihutubia Muheza.
Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkinga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Pangani, Amina Mwidau.
Bango
Mfuasi wa Ukawa akiwa na bango.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiagana na wafuasi wa Ukawa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni