.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Septemba 2015

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CHAMA CHA CUF, MAALIM SEIF AUNGURUMA JIMBO LA MAHONDA

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na vijana katika barza mbali mbali za CUF Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, jimbo la Mahonda.
Baadhi ya wafuasi wa CUF waliojitokeza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, wakimsikiliza Maalim Seif (hayupo pichani). Picha na OMKR.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanakombo Jimbo La Mahonda jana
Baadhi ya wafuasi wa CUF waliojitokeza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, wakimsikiliza Maalim Seif (hayupo pichani). Picha na OMKR.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni