.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Septemba 2015

MKUTANO WA CCM WILAYA YA KATI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akiwaombea kura Mgombea Urais wa zanzibar,Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wagombea Uwakilishi,Ubunge na Udiwani katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na wananchama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Kikundi cha miziki cha Yamoto Band kikitumbuiza wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wananchama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo jipya la Tunguu Simai Mohammed Said wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo la Uzini Mohammed Raza Daramsi wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo jipya la Tunguu Khalifa Salum Suleiman wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo la Chwaka Bangwanji Suria Mshamba wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo la Uzini Salum Mwinyi Rehani wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwatambulisha Wagombea Udiwani CCM wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Wilaya ya Kati uwanja wa mpira Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na wananchi na wananchama wa Chama cha Mapinduzi baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Bungi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni