.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

1
Mkurugenzi Idara ya upimaji na Ramani Justo Lyamuya, Mkurugenzi wa Nyumba Charles Mafuru kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Barozi wa Kenya nchini Tanzania Chirua Ali wakiwa katika kikao hicho.
2
                      Wajumbe kutoka Tanzania na Kenya wakiwa katika kikao hicho.
4
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa katika kikao hicho.

5
Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya wakiwa katika kikao hicho.
3
Washiriki wa mkutano wakiwa katika picha ya pamoja, hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam. Picha zote na Hassan mabuye  

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inafanya mkutano wa siku tano kati ya Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya ili kuimarisha na kuhakiki mipaka kati ya nchi hizo. 

Kikao hicho cha wajumbe maalumu kutoka nchi hizo mbili kinafanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 14 hadi 18 septemba 2015.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni