.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 4 Septemba 2015

MUIGIZAJI FILAMU EMMA THOMPSON ADAI KUWA UK WABAGUZI

Muigizaji filamu Emma Thompson amedai kuwa Uingereza haichukui kiasi kikubwa cha wakimbizi kutoka mataifa ya Ulaya kutokana na umma wake kuwa ni wabaguzi.

Mshindi huyo wa tuzo ya Oscar, amesema namna Uingereza inavyoshughulikia mgogoro wa wahamiaji ni aibu, na kusema kuna nafasi ya kutosha kuhifadhi maelfu ya wakimbizi.

Hatua hiyo ya muigizaji huyo nyota imekuja huku kukiwa na shinikizo kwa serikali ya Uingereza kutoa hifadhi kwa familia zaidi za wakimbizi wa Syria wanaokimbilia mataifa ya Ulaya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni