Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwa ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka kukagua terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway akihutubua katika sherehe hizo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati anafungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia sanamu ya meli aliyozawadiwa baada ya kufungua rasmi terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kushoto ni Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka na katikati ni Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Jumatano, 16 Septemba 2015
RAIS KIKWETE FUNGUA TERMINAL YA MBOLEA YA KAMPUNI YA YARA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi terminal ya mbole ya kampuni ya Norwaya ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway. Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw. Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni