.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 2 Septemba 2015

VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA VYAMUAGA AMIRI JESHI MKUU, RAIS JAKAYA KIKWETE

Askari wa Vikosi mbali mbali vya Ulinzi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete alipoagwa rasmi na Vikosi hivyo leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi la Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kumuaga kwa kumaliza muda wake wa Urais leo.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kuagwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (wan ne kushoto) akiwa na Viongozi wengine wakisimama kupokea salamu ya heshma ya kwaride la Vikosi vya Ulinzi wakati wimbo wa Taifa ulipopigwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za kuagwa rasmi leo,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni