Wafanyakazi
wa Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz
wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika eneo la
mapango ya Amboni (AMBONI CAVES ) kwa lengo la kujifunza mambo
mbalimbali ya kihistoria ndani ya Mapango hayo sanjali na kuhamasisha
utalii wa ndani.Picha na Emanuel Madafa Baba JJ
|
muonekano kwa baadhi ya maeneo ndani ya mapango hayo ya Amboni Caves .
|
Mkurugenzi Kissa Pharmacy Mbeya Ndugu Gasper Kilango Singo akiwa ndani ya mapango hayo .
|
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni