.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Septemba 2015

WAZIRI KOMBANI AFARIKI DUNIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ( Menejimenti ya Utumishi wa Umma ), Mh Celina Kombani ( pichani ) amefariki dunia. 

Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilila amesema kuwa, Waziri Kombani amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu. 

" Ni kweli Waziri Kombani amefariki dunia jana jioni, na alikuwa nchini India kwa matibabu kwa karibu wiki mbili sasa, alisema Kashilila. 

Waziri Kombani alikuwa mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) tangu mwaka 2005, na katika uchaguzi wa mwaka huu pia alikuwa akitetea kiti hicho. Tutaendelea kuwaletea taarifa zaidi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni