.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Septemba 2015

YANGA WAENDELEA KUJIFUA VIKALI HUKO PEMBA TAYARI KUIKABILI SIMBA UWANJA WA TAIFA WIKI HII

WACHEZAJI watatu wa timu ya Yanga, Golkipa Mudathir Yahya, Salum Telela na Kelvin Yondani wakijitibu nje ya uwanja wa gombani na kushindwa jana kufanya mazoezi na wenzao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mholanzi Hans Van Der Pluijm, akiwasimamia wachezaji wake wakati walipokuwa wakifanya mazoezi ya Viungo, wakati walipowasili katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mholanzi Hans Van Der Pluijm, akiwaongoza wachezaji wake kutoka uwanjani baada ya kumaliza kwa mazoezi yao jana jioni katika uwanja wa michezo Gombani kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mholanzi Hans Van Der Pluijm, akiwa na wachezaji wake mara baada ya kumaliza mazoezi yao katika uwanja wa michezo gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.) Picha kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni