Mhe. Balozi Dora Msechu ameipongeza na kuishukuru Kilimanjaro FC kwa kuiwakilisha vyema nchi yetu kwenye fani ya michezo hapa Sweden na kuwahamasisha waongezee bidii zaidi na wasibweteke na mafanikio wanayoyapata.
Aidha, Mhe. Balozi Dora Msechu amekubali ombi la Kilimanjaro FC la kuwa Mlezi wa timu hiyo na kuahidi ushirikiano wake pale itakapowezekana.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni