Amewaasa waendeleze mshikamano wao na kuwahakikishia kuwa milango ya Ubalozi ipo wazi katika kuwahudumia na kushirikiana kwa karibu na watanzania wote wanaoishi kwenye nchi za Nordic na Baltic.
Sherehe hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Fyn kwa kushirikiana na familia ya Bibi Dorthe Nielsen, rafiki mkubwa wa Tanzania na mtoto wa aliyekuwa Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini Denmark, marehemu Robert Andersson.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni