.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Oktoba 2015

COKE STUDIO YALETA BURUDANI DAR, MWANZA, ARUSHA NA MBEYA

Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.

Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.
 

Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kukata na shoka katika viwanja vya maraha sehemu mbalimbali nchini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha zilzowajumuisha vijana kucheza muziki,kuimba na kufurahi na kujishindia zawadi mbalimbali za Coca Cola
                                                   Wadau mbalimbali ndani ya Coce Studio Party
Baadhi ya mayanki waliohudhuria Coke Studio party wakiwa kwenye picha ya
pamoja kwenye ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Ilikuwa ni burudani kubwa vijana wakicheza muziki kwa furaha ndani ya Maisha Club
 Vijana wakishiriki kuimba Coke Studio Party mkoani Mwanza
zawadi mbalimbali zilitolewa katika party ya Mwanza kama anavyoonekana Masai akijichukulia zawadi katika party ya Mwanza
   Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri
Watu wa rika mbalimbali walifika CokeStdi party kupata burudani kama wanavyoonekana baadhi yao pichani mjini mwanza

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni