Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipofika kijiji cha Kijini Matemwe katika sherehe za Ufunguzi wa Umeme katika kijiji cha Matemwe Mbuyutende na Kijini,Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Umeme katika kijiji cha Matemwe Mbuyutende na Kijini,Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja leo (kushoto) Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiponyeza kitufe kama ishara ya Uzinduzi wa Umeme katika kijiji cha Matemwe Mbuyutende na Kijini,Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja leo (kushoto) Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZEC) Hassan Ali Mbarouk,(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi (wa pili kuli),[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Umeme katika vijiji hivyo leo katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja, [Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Umeme katika vijiji hivyo leo katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban katika sherehe za uzinduzi wa Umeme zilizofanyika leo katika vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Umeme katika vijiji hivyo leo katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja, [Picha na Ikulu.]Wafanyakazi wa Shirika la Umeme wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini leo viliopo katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika sherehe za uzinduzi wa Umeme,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi wa vijiji vya Matemwe Mbuyutende na Kijini leo viliopo katika Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja katika sherehe za uzinduzi wa Umeme, [Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni