.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Oktoba 2015

MAJINA YA WACHEZAJI 10 WALIOPEWA TUZO KATIKA SHEREHE YA TASWA

A; WACHEZAJI BORA
 

1; Samson Ramadhan (riadha).
2; Martin Sulle (riadha)
3; Mary Naali (riadha)
4; Kikosi cha Taifa Stars kilichocheza mechi za kufuzu CHAN 2009 (soka)
5; Mwanaid Hassan (netiboli)
6; Hasheem Thabeet (kikapu)
7; Timu ya Taifa ya gofu wanawake iliyoshika nafasi ya pili mashindano ya Afrika yaliyofanyika Abuja, Nigeria mwaka 2010.:
8; Twiga Stars:
9; Francis Cheka
10; Mbwana Samatta
 

B;TUZO ZA VIONGOZI
 

1; Jenerali mstaafu, George Waitara
2. Kanali mstaafu, Idd Kipingu
3; Dioniz Malinzi
4. Leodeger Tenga
5. Abdallah Majura

C.TAASISI ZILIZOFANYA UWEKEZAJI MKUBWA WA MICHEZO
 

1; Said Salim Bakhressa Group
2; Majeshi
 

D.TUZO YA HESHIMA
 

1; Rais Jakaya Kikwete

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni