Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Edward Lowassa ( katikati ) akiwa ameongozana na mkewe, Mama Regina Lowassa kuelekea kituo cha kupigia kura mapema leo asubuhi. Mh Lowassa amepiga kura yake katika kituo cha Ngarashi, Kata ya Engutoto wilayani Monduli mkoani Arusha.
Baadhi ya wananchi wakiwa ndani ya chumba cha kupigia kura
Wananchi wakiwa katika foleni wakisubiri zamu zao za kupiga kura katika kituo cha uchaguzi cha Ngarashi, Kata ya Engutoto wilayani Monduli mkoani Arusha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni