Jumanne, 20 Oktoba 2015
MKUTANO WA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU WAFANYIKA PEMBA
AFISA Tawala kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC, Bibi Irene Kadushi akiwasilisha mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu, kwa viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa PHL Wawi Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama cha CHADEMA kisiwani Pemba Said Issa, akichangia mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu, katika mkutano wa siku moja ulioandaliwa na NEC kwa viongozi wa vyama vya siasa kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MRATIB wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)Kisiwani Pemba, DK Mohamed Ali Jape, akizungumza na Viongozi wa vyama vya siasa kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa PHL Wawi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Tanzania, ambaye pia ni mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Mhe:Said Soud Saidi, akichangia mada katika mkutano huo wa Vyama vya siasa huko PHL Wawi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA) Kwa hisani ya ZanziNews
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni