.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Oktoba 2015

MKUTANO WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KATIKA MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiwahutubia viongozi wa vyama vya siasa nchini katika mkutano wake na viongozi hao leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara John Mnyika akipitia makabrasha ya tume ya uchaguzi waliyopewa katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Kailima Ramadhani akisoma hotuba katika mkutano wao huo na viongozi wa vyama vya siasa nchini.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiwa na baadhi ya viongozi katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini wakifuatilia mkutano huo na tume leo Jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni