.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

RAIS KIKWETE ATEMBELEA BUNGE LA MSUMBIJI

unnamed
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo wakipokea heshima.
unnamedX
Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais Kikwete katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya naye mazungumzo.
unnamedK
Rais Kikwete akimtambulishwa kwa baadhi ya wabunge.
unnamedM
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari Bungeni Maputo (kulia), Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo.
unnamedN
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia. Picha na Freddy Maro

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni