.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 26 Oktoba 2015

SOKO LA HISA LA ASIA LINATARAJIWA KUTOTETEREKA HII LEO

Soko la Hisa la Asia linatarajiwa kutotetereka hii leo baada ya China kukata kiwango cha wastani wa riba zake kwa asilimia 0.25 hadi asilimia 4.35.

Serikali ya China inatarajia kitendo cha kulegeza sera zake za fedha kwa kuifanya fedha rahisi, itasaidia kufikia lengo la asilimi 7, 2015.

Wiki iliyopita China iliripoti ukuaji wa uchumi wake umepungua kwa mwaka wa sita mfululizo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni