Semina hiyo ilianza juzi Octoba 19 na inatarajiwa kufikia tamati hii leo Octoba 21 Jijini Mwanza. Zaidi Mama Kanyamala aliwakumbusha wanahabari kuripoti na Kuandika habari za uchaguzi mkuu kwa ulinganifu sawa kwa kuzingatia Usawa wa Kijinsia. Washiriki wa Semina hiyo (Wanahabari) waliahidi kutimiza majukumu yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuripoti habari za uchaguzi pamoja na nyinginezo nyingi kwa kuzingatia usawa baina ya wanaume na wanawake.
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano (Kulia) akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Mshindi wa Tuzo ya Mama Shujaa kwa Mwaka 2014 bi.Joyce Stephano akitoa ushuhuda wake kwa Wanahabari namna alivyopitia ukatili wa Kijinsia na namna alivyopambana nao na hatimae kuwasaidia wahanga wengine wa ukatili huo
Semina ikiendelea
Kushoto ni Godfrida Jola ambae ni Afisa Miradi TAMWA akiwa pamoja na Leonida Kanyuma ambae ni Afisa Habari TAMWA
Wawezeshaji wa Semina
Mshiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Washiriki wa Semina
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
Lunch Time
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni