.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Oktoba 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM SUMBAWANGA

4
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa Kmpeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge n madiwni katika uwanja wa Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11, 2015.
5
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Dkt Chrisant Majiyatanga Mzindakaya akimnadi Mgombea ubunge wa jimbo la Sumbawanga Mjini, Khalfan Hilaly Aeshi katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
8
Shabiki wa CCM akiwa ameijichora katika katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
9
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa Kmpeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge n madiwni katika uwanja wa Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11, 2015.
10 11
Moja wa mabango yaiyokuwepo katika katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
12
Shabiki wa CCM akiwa ameijichora katika katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
13
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Dkt Chrisant Majiyatanga Mzindakaya akisalimiana na baadhi ya wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.

                                                                                     Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni