.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Oktoba 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA NEMBO YA BWANA SUKARI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua nembo mpya ya sukari inayotengenezwa na kiwanda cha Kilombero Sugar Company iitwayo Bwana Sukari kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Oktoba20, 2015.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baada ya viongozi wa Bodi ya Sukari Tanzania na viongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero baada ya kuwasili kwenye hoeli ya Serena jijini Dar es salaam Oktoba 20, 2015 kuzindua nembo mpya ya sukari ya kiwanda hicho IITWAYO Bwana Sukari . Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam, Meck Sadiki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni