.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 28 Novemba 2015

AFISA MATEKELEZO NA URATIBU WA BIMA YA AFYA (NHIF) SALVATORY OKUMU AKITOA MADA KATIKA KONGAMANO LA WADAU WA BIMA YA AFYA DAR ES SALAAM

   Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya Salvatory Okumu, akitowa mada katika kongamalo hili (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili, Dereck Chitama akizungumza na washiriki wa kongamano la Bima ya Afya lililoandaliwa na Policy Forum Dar es Salaam, ambapo -upatikanaji wa huduma za Afya kwa jamii kupitia Bima hiyo ni miaka zaidi zaidi ya Ishirini imepita tangu kuanzishwa kwa bima ya Afya nchini lakini mpaka leo zaidi ya robo tatu ya watu Tanzania hawana bima ya Afya, Hata wale waliyonayo bado wanapata huduma duni hasa kwa wale walioko vijijini, kutumia dawa na vifaa tiba ni kawaida malengi,Malengo ya Dunia yametamka wazi kwamba kila mwananchi aweze kupata huduma bora za Afya na akahoji, je, kwa mwenendo huu wa sasa ambapo watu wengi hawana bima ya Afya Tunafika?
Programu Afisa Mfuko wa Afya ya Jamii, Kidani Magwila akizungumza katika kongamano hilo
 
 
 
 
 
 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni