.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 7 Novemba 2015

BARAZA KUU CUF LAKUTANA ZNZ

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara) bibi Magdalena Sakaya, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Mhe. Nassor Ahmed Mazuri, pamoja na baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la Uongozi CUF, mara baada ya kuwasili katika hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuanza kikao hicho.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la Uongozi CUF, mara baada ya kuwasili katika hoteli ya Mazsons Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuanza kikao hicho. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni