Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akielekezwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' jinsi ya kupiga ngumi za tumbo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Twaha Kassim 'Kiduku' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika uwanja wa basketboll shule ya uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D'
IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' |
Bondia ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Class kujiandaa na mpambano wake wa desemba 25 kupambana na Twaha Kassimu mpambano utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia ibrahimu Maokola 'kushoto' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi ya Class kujiandaa na mpambano wake wa desemba 25 kupambana na Twaha Kassimu mpambano utakaofanyika katika uwanja wa jamuhuri Morogoro katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwasimamia mazoezi haya ya kupigana Picha naSUPER D BOXING NEWS |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni