Watu wengi bado hawajulikani walipo
baada ya maporomoko ya ardhi katika machimbo ya Jade nchini Myanmar
kaskazini mwa jimbo la Kachin.
Karibu miili ya watu 104
imepatikana, huku baadhi ya watu wakikadiria kuwa zaidi ya watu 100
hawajulikani walipo.
Tukio hilo limetokea huko Hpakant
siku ya jumamosi wakati kilima kikubwa cha udongo wa machimboni
kilipoporomoka chini na kufuka nyumba za wachimbaji madini.
Haikufahamia chanzo cha kutokea kwa mapotomokoa hayo katika.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni