.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 24 Novemba 2015

MAREKANI YAWEKA VIKWAZO KWA MAAFISA WANNE WA BURUNDI

Marekani itaweka vikwazo kwa maafisa wanne wasasa na waaliopita wa Burundi kwa kuhusika na machafuko yanayoendelea nchini humo.

Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Waziri wa Usalama wa Umma na Naibu Mkurugenzi wa Jeshi la Polisi la Burundi. Viongozi hao wanne watashikiliwa mali zao pamoja na kunyimwa viza.

Marekani imesema hatua ya rais Pierre Nkurunziza kushinikiza kuingia madarakani kwa muhula wa tatu imechochea machafuko, ambayo yamepelekea watu 240 kufa tangu mwezi April.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni