Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ( katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mkewe Margaret Kenyatta katika Ikulu ya Kenya jijini Nairobi jana November 25, 2015. Papa leo aliendesha misa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Nairobi na kuhudhuriwa na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki nchini humo.Alhamisi, 26 Novemba 2015
PAPA FRANCIS AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI KENYA
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ( katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mkewe Margaret Kenyatta katika Ikulu ya Kenya jijini Nairobi jana November 25, 2015. Papa leo aliendesha misa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Nairobi na kuhudhuriwa na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki nchini humo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni