.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 6 Novemba 2015

RAIS DK. JOHN MAGUFULI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyaraka Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Othuman Chande,Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
                                                                           (Picha na Hassan Silayo-MAELEZO)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni