Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) bwana Rished Bade na kumteua Bwana Philip Mpango kukaimu nafasi hiyo.
Taarifa kutoka Ikulu jijini Dar es Salaam zinasema kuwa, uamuzi wa Rais Magufuli unafuatia ziara ya ghafla iliyofanywa na Waziri Mkuu, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa bandarini jijini Dar es Salaam na kubaini upotevu wa makontena 349.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni